Stara Thomas afumaniwa LIVE!

wanawake ndo tunaongoza kwa kuchepuka au?? na kama ndio tatizo lipo kwa nani??:shocked:
 
tehetehe huyu mwanamke si na yeye ameingia kwenye nyimbo za kina rose muhando inakuwaje anafanya mambo kinyume !
 
Duhhh hata na huyu jamani?
Tumwamini nani sasa maana Stara nilikuwa namuona bonge moja la mwanamama aliyetulia.
 
Nasikia akilewa zinashukia chini na yale mambo ya pwani anatunuku bila hiyana akishapa mvinyo, hana tabu huyo kule maeneo ya tabata
 
Naunga mkono hoja! Vizuri hakufanyia nyumbani!
Walikaa nusu saa garini nje ya Nyumba yao. Ni ushahidi kua walikua wanafanyana!! Labda useme hawajufanyia chumbani, lakini sio nyumbani!!
 
Dah full manyonyo. Jamaa kachapiwa analalamiiika!!
 
Nasikia akilewa zinashukia chini na yale mambo ya pwani anatunuku bila hiyana akishapa mvinyo, hana tabu huyo kule maeneo ya tabata

Mkuu nambari ya kilongalonga chake huweza kinipiemia?
 
Walikaa nusu saa garini nje ya Nyumba yao. Ni ushahidi kua walikua wanafanyana!! Labda useme hawajufanyia chumbani, lakini sio nyumbani!!

Nachakuagana kilivyo kitamu, walifaidi kwakeli....
 
Nimestaajabu pia!!

We nae sasa kama kaweza flora mbasha kumzawadia mchepuko mtoto ndo itashindikana kwa huyo. Dunia ya sasa hakuna lisilowezekana yaan sitastaajabu nikiskia diamond anapiga dada yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…