Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,659
Si kaokoka huyo Stara
Unasafiri unamuacha mke kama stara nyumbani badala ya kuondoka naye unategemea nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kaokoka huyo Stara
Si kaokoka huyo Stara
Ajali tu....
Waanze upya
Walikaa nusu saa garini nje ya Nyumba yao. Ni ushahidi kua walikua wanafanyana!! Labda useme hawajufanyia chumbani, lakini sio nyumbani!!Naunga mkono hoja! Vizuri hakufanyia nyumbani!
Unasafiri unamuacha mke kama stara nyumbani badala ya kuondoka naye unategemea nini?
Duhhh hata na huyu jamani?
Tumwamini nani sasa maana Stara nilikuwa namuona bonge moja la mwanamama aliyetulia.
Sa utasafiri nae kila mahali utaweza
Nasikia akilewa zinashukia chini na yale mambo ya pwani anatunuku bila hiyana akishapa mvinyo, hana tabu huyo kule maeneo ya tabata
Walikaa nusu saa garini nje ya Nyumba yao. Ni ushahidi kua walikua wanafanyana!! Labda useme hawajufanyia chumbani, lakini sio nyumbani!!
stara mbona kicheche tu
Stara hata wewe????
kuna msanii alikua anatoka nae nimemsahau jinaNiambie koma?
Aisee sikutegemea jinsi namuonaga mama wa busara yaani halafu namfagi ile mbaya!
Na utu uzima wote huo anatafuta nini? Ngachoka Ave mie!!!!
Nimestaajabu pia!!