Starehe muhimu ni ipi?

Kunya wakati umeshiba....yaani tena choo cha nje yaani taratibuuu huku umefumba macho
 
Binafsi kucheza music aisee!,Ila kiukweli kila mtu na starehe yake!
 
TENDO LA NDOA.........aisee hakunaga kama hii dunia,afu nacho shangaa zaidi hii starehe haihitaji uwe na pesa nyingi,yeyote anaweza ipata hata masikini
Biashara za watu siku hizi, inategemea uwe vizuri hasa kwa upande wa kiume[emoji2]
 
Kwa upande wangu starehe yangu kubwa Mapenzi,sijaiona nyengine sio kulewa wala kuvuta bangi,wala unga,wala tafrani yoyote ile baada ya kuolewa ndio hiyo tuuuu.
[emoji39] [emoji39] vp kwa wale wasio na uwezo katika hii kitu??
 
Moja tu muhimu kuliko
 
sex with her is so amazing, ni more than driving a jet on water [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
"Kila mtu na starehe yake,
Anayekula jasho lake,
Anayetumia ujuzi wake,
Hayo ndio mapenzi yake."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…