Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara za watu siku hizi, inategemea uwe vizuri hasa kwa upande wa kiume[emoji2]TENDO LA NDOA.........aisee hakunaga kama hii dunia,afu nacho shangaa zaidi hii starehe haihitaji uwe na pesa nyingi,yeyote anaweza ipata hata masikini
[emoji39] [emoji39] vp kwa wale wasio na uwezo katika hii kitu??Kwa upande wangu starehe yangu kubwa Mapenzi,sijaiona nyengine sio kulewa wala kuvuta bangi,wala unga,wala tafrani yoyote ile baada ya kuolewa ndio hiyo tuuuu.
Moja tu muhimu kulikostarehe ambazo mtu yeyote awe masikini au tajiri lazima azipate ni:-
1) Usingizi
2) Kula
3) Kujisaidia haja kubwa
4) Tendo la ndoa.
5) Kucheka
Katika hizo,starehe nzuri kuliko zote duniani ambayo mtu yeyote anapata bila kujalisha alivyo ni TENDO LA NDOA.
Halafu punguza kulala utaibiwaKulala[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42]
Iwe ulikula viazi jana yakeKunya wakati umeshiba....yaani tena choo cha nje yaani taratibuuu huku umefumba macho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuu ni kuishi duniani huku ukiwa wa tiketi ya mbinguni ...la sivyo utaogopa hadi visivyo hai..
😀😀😀😀 asee siweziii acha tu niibiweHalafu punguza kulala utaibiwa
Moja tu muhimu kuliko zote ni KUJAMIIANA.Moja tu muhimu kuliko