Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukusanya pesa nyingi kadri uwezavyo,uwe nazo za kukupeleka popote duniani na kufanya lolote hapa chini ya juaWakuu ninaomba mawazo yenu kunifumbua katika hili. Je, starehe gani muhimu sana hapa duniani ambayo kila mwanadamu anastahili kuifanya/kuipitia kabla ya kifo chake??
Haaaa na ukame huuBata ni starehe yake pia kama ilivyo kwangu
Kula miwa kimyakimya gizaniWewee unapenda starehe gan????? Notoriousic
Mara ngap kwa sikuKut..mbana tuu..
Kula ukipendacho??Kula nikipendacho & kulala
ukifika muda wa hivyo vitu viwili nasikia rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hahaaa[emoji23] [emoji23]Kukusanya pesa nyingi kadri uwezavyo,uwe nazo za kukupeleka popote duniani na kufanya lolote hapa chini ya jua
Mkuu hii nyimbo naipenda sana, unaweza kuwa nayo ndugu?Kila mtu na starehe yake -Waswahili.
Hakuna starehe muhimu zaidi ya kutianaWakuu ninaomba mawazo yenu kunifumbua katika hili. Je, starehe gani muhimu sana hapa duniani ambayo kila mwanadamu anastahili kuifanya/kuipitia kabla ya kifo chake??
tehe tehe tehe teheKula ukipendacho??Emb kitaje niige
Ninayo kwenye PC nikiipata nita-attach.Mkuu hii nyimbo naipenda sana, unaweza kuwa nayo ndugu?