PAZIA 3
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 1,102
- 1,919
Katika maisha ya mwanadamu, Kuna vitu 4 vikubwa vinavyompa RAHA/FURAHA ( HAPPINESS).
1. MAPENZI
2. PESA
3.CHAKULA
4. MZIKI
1.MAPENZI; Hii ni furaha ya kwanza kabisa katika maisha ya mwanadamu kuanzia akiwa mtoto mpaka anakufa, mapenzi hayajali hari yoyote, uwe chizi, mgonjwa, masikini au tajiri, Ukipata huduma ya MAPENZI unatulia kabisa kisaikolojia. Tafadhari ndugu msomaji, usipuuze MAPENZI kwasababu usipoyapata utaathilika kisaikolojia, utakuwa mtu wa kuripuka katika maamzi, utakuwa na hasira zisizo na maana na utaiona dunia ni chungu, yape mapenzi nafasi yake ili upate FURAHA.
2: PESA :Hii inajulikana na kila mwanadamu kuanzia mtoto mpaka mzee, PESA ndiyo inakufanya usilale ukiwazia namna gani uimiliki ili Uwe na FURAHA. Usiache kuitafuta PESA maana ukiwa na PESA popote ulipo unajiona wewe ni mkubwa, utajiamini, hutoogopa chochote, Pesa itakufanya kutimiza haja zako zote za moyo. Pesa haina imani, pesa haina siasa, pesa huuburudisha MOYO kwa FURAHA
3. CHAKULA; Moja ya hitaji mhimu Sana la kila mwanadamu, kuanzia mtoto mpaka mzee, tangu unazaliwa hitaji lako ni kula ili upate FURAHA. Usipopata chakula hutokuwa na FURAHA. Tafadhari, unapopata nafasi ya kutumia chakula, kula kwelikweli kwasababu utajiona mwenye nguvu, mwenye FURAHA na afya njema. Kama Kuna vyakula vinakushinda, fanya mazoezi ya mara kwa mara kuvitumia mpaka uvile ili uipate FURAHA yako.
4. MUSIKI. Hii ndiyo agenda yangu kuu. Muziki ni hitaji mhimu Sana katika maisha ya mwanadamu kwasababu ndiyo TIBA PEKEE YA MATATIZO YA UBONGO. Kwa mwanadamu aliye na uwezo wa kusikia hata asiyesikia, akipata mdundo wa MZIKI huridhika rohoni mwake, mziki unaweza kuwa kwaya, kaswida, ngonjera, ushairi, na miziki yote inayotegemea ALA ZA MZIKI. Kwa mjibu wa tafiti mbalimbali za MZIKI, imeonekana kuwa, mwanadamu hufarijika Sana anaposikia mdundo wa MZIKI. Kwa mfano, mtoto asikiapo mziki, hata Kama alikuwa analia, hutulia kabisa, hap ndipo Wazazi/walezi hutumia nyimbo kuwabembeleza watoto wanapokuwa wanalia. Mziki humfanya mtu yeyeto kutulia kisaikolojia, kwenye mziki hakuna chizi, mwehu, masikini, tajiri, shehe, mchungaji, padri au yeyote, akisikiliza mziki, hufarijika kabisa. Kuna watu hujaribu kuuzuia mziki katika maisha yao lakini ilishashindikana. Huwezi kuuzuia mziki kwasababu ndiyo FURAHA kubwa ya mwanadamu. Nikuombe wewe ambaye unajibana kusikiliza mziki, Anza kusikiliza mziki kwasababu utaiona Furaha yako .
Ndiyo maana unaona MZIKI upo mahari pote, nyumbani, shuleni, jeshini, kwenye usafiri, viwwndani, studios, kwenye michezo na kwenye taasisi zote za dini na zisizo za kidini. Hii nikwasababu hisia za mwanadamu huvutiwa zaidi na MZIKI.
Kuna watu hulalamika kukosa USINGIZI au kushindwa kula kwasababu ya mawazo, nakuhakikishia ukiwa unasikiliza mziki, ndani ya wiki 2 tatizo lako litakuwa limepona. Usijibane kusikiliza mziki, ukiwa na nafasi, fungulia mziki kadri uwezavyo ili roho yako isuzike, MZIKI unakutibu kabisa na matatizo ya kisaikolojia. Tunza mziki wako kwenye simu, radio, frash cards, memory cards, tv au ala zingine za mziki na uutumie katika mazingira tulivu. Ukiwa na mawazo Sana, shiriki na wenzako kuucheza mziki. Tafadhari, usiwe mtazamaji, CHEZA MPAKA UTOKE JASHO. Nakuhakikishia,Kama ulikuwa unawaza kwasababu
MZIKI NI FURAHA YAKO, SIKILIZA, CHEZA MZIKI, UTAKUJA KUNISHUKURU.

- huna pesa
- umeachwa na mpenzi wako
- umefukuzwa kazi
- huna kazi
- unabugudhiwa kazini
- unabugudhiwa mahala ulipo,

Upvote
0