LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Ndio maana His Majesty King David, the King of The United Kingdoms Of Israel and Judah, alisema " Nilifurahi walipo niambia twende nyumbani kwa Bwana"
Ibada ya kweli ni starehe na kustarehe na sio kinyume chake. Watu walio tunga taratibu za ibada kwenye dini zetu hizi mbili kubwa ( Ukristo na Uislamu) kwenye mind zao walifikiria kwamba Mungu ni kama mwanadamu ambae anataka kuona watu wake wakijitesa kwa ajili ya kutafuta approval na validation yake kitu ambacho ni very wrong. Mungu hahitaji wewe ujitese ili aku approve. Mungu anahitaji ufurahi zaidi. Ufanye starehe zaidi. Na sio kinyume chake.
Ndio maana Adam na Hawa hawakuanzia maisha ya ghetto. Mungu alianza kwanza kwa kumpa Adam utajiri( Eden ) na kama hiyo haitoshi akamuongezea na Hawa ili afurahi na kustarehe zaidi. Haya maisha ya kujitesa tumeya adapt tu lakini sio asili yetu kabisa. Asili yetu ni " Eden" ( starehe/kustarehe) . Asili ya mwanadamu ni starehe na kustarehe kama ilivyo asili ya maji ni ubaridi. Maji hata uyachemshe vipi ila mwisho wake yatarudi kwenye asili yake ( Ubaridi) Vivyo hivyo kwa mwanadamu, hata umtese vipi lakini mwisjo wa siku atarejea kwenye asili yake ambayo ni starehe na.kustarehe.Ndio maana hata mlalahoi aliepigika kwa muda mrefu. Siku akipata kazi , atafanya kazi yake ngumu ila akilipwa tu mshahara wake anarejea kwenye asili yake ( kustarehe) Ataenda bar kunywa atatafuta mwanamke etc.
Nakuacha na maneno ya Mfalmw suleimani kwenye Biblia anasema " Sitainyima nafsi yangu chochote kile utakacho kitaka"