Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,354
bata langu halina ratiba. ila sio kukesha!
bongo ukisikia watu wanamzungumzia mtu anayekula bata basi ujue ni wale mapopo ambao hawalali usiku wa manane!kuna wabishi wanakula bata zao ndefu tena mchana kweupe!wengine kujifungia ndani ndo starehe zao,wengine kusafiri.....starehe yako ipi au bata lako unalila kwa style ipi?............mnyama unyamani!
Kuna wabishi hao wa gongolamboto ila upopo wao ni coco na sehemu zote za ufukweni!sijui wanalala saa ngapi na sijui kama wale wanakula bata au wanateseka!!!ila wabishi wanalazimisha suluhu ugeniniBata la usiku ndio mzuka..halina ile kutoleana macho kiivo,yani ni unyama kwenda mbele..bata la mchana labda kama umepanga trip ya mbali sana na mji ndio safi..
Watu wameuza usingizi mjini hapa!!