Starehe tamu kuliko zote

play station

ukinitumia sms wakati nacheza game kisha nikaacha kucheza game ili nichat na wewe ujue nakupenda sana au hujanipa
tuko pamoja sana yaan hapo nikiwa kwenye ps4 tena fifa17 nasahau kumicha kabisa Mkuu
 
Nikiwa na demu wangu tunacheza ps3 yaan hatutaki kujua ya watu
 
Kudanganywa huku nikiwa najua fika kuwa nadanganywa.
 
Starehe yangu pale nnapomaliza kula then nkanywa maji huwa nahs burudan
 
Aisee ni kula na kunya tu wallah coz umalizapo iyo shughuli hujutii
 
Kupima ukimwi ukajikuta huna ... Ni starehe kubwa sana

Hahahah hata Mimi nilfurahi sana nilivyopima na bahati nzuri sikuwa na halichachi bundle. Furaha ilidumu mpaka siku iliyofuata nilivyogegeda tena.!
 
Haya mkuu wewe endelea kugegeda tyu!
 
Starehe nzuri.
Kwanza inabidi uwe na afya njema.
Halafu ndo ufulahie maisha kwa KULA na KUNYWA unachokipenda.
Hakuna starehe kubwa chini ya jua kama kula na kunywa.

"Mwanadamu hapati jema kupita kula na kunywa, na kuiburudisha (nafsi) roho yake yake kwa mema katika kazi yake. Hayo nayo naliona ya kwamba hutoka mkononi mwa Mungu"
Mhubiri 2 : 24.

Ni maneno ya Nabii Sulemani, mtu tajiri na mwenye hekima zaidi kupata kutokea duniani.
 
Mmeshaambiwa kamchezo kenyewe kila mtu anakapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…