Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muombe InvisibleNa Mimi nataka huko kwa wakubwa
Mtanange upi..Mkuu kwa dhati kabisa naomba wewe na Daby mtuwakilishe wanaume kwenye mtanange wa marudio
unaombaje access mkuuDogo omba access jukwaa la wakubwa uzi wako upo kule
Duu nimecheka kama chizi apaBange aisee nikivuta namwona nyerere
Kwanza umri wako ni wa utu uzima?unaombaje access mkuu
Madaktar wanakataza shaur yakoHakuna starehe tamu duniani kama kuchokonoa sikio kutoa uchafu. Hapa hata uwe baunsa lazima urembue.
Haujipendi nduguKucheki muvi, na kusikiliza music with Ear phones in high volume...
Kwanini mkuu..Haujipendi ndugu
MmhhhHahahahahaaa.. Wakati wa kukata gogo kuna kautamu flani hivi amaizing..
Utakuwa kiziwi mda sio mrefuKwanini mkuu..