Starehe ya muda mchache, majuto ya muda mrefu

Starehe ya muda mchache, majuto ya muda mrefu

Za nyieeeee..

Mapenzi, mapenzi, nakuita tena xxx.
Ni starehe ya mda mfupi sana, ila majuto yake yanadumu milele.

Ninapozungumzia majuto, nina maana hii.

Kuna kipindi mtu unashikwa na ugwagwadu wa maana mpaka ukiona midoli unatamani kuichakachua, sasa hali inawapataga wanaume tena inawafanya wanauza mechi kwa timu za ajabu.

Ndo chanzo kikubwa cha kupata magonjwa ya zinaa na kujikuta unafanya mapenzi na mtu usiyempenda kisa nyege za hatari.

Wengi wao leo wanaishi na watu wasiowapenda, kwa sababu ya tamaa za mapenzi.

Ukishafanya tu haya mapenzi na ukapinzi, akili ndo inakuja kichwani, ukiangalia pembeni, umefanya mapenzi na Chizi, Malaya, Shoga
Ndugu yako wa damu, Rafiki yako unamuheshimu.

Yote hayo kisa tamaa, nyege

Mapenzi ni starehe ya muda mfupi sana, tena ya kipumbavu sana, ila majuto yake ni ya mda mrefu sana.

Hakuna kitu kinakera kama umemuonga mwanamke pesa kibao, halafu unaenda kufanya mapenzi tena wavungu walivyokuwa hawana maana wanatoka chapu.

Ndugu zangu hakuna majuto mabaya kama kutembea na mtu usiyempenda yani kila saa ukifikiria unajikuta unatema mate chini, maana umenyonya mdomo wa mtu usiyempenda.

Approximately ndo yule yule..
Suala la Condom za NUKTA NUNDU nalo tukalitizame
 
Pole sana kijana naona ndo unaanza maisha. Hapo bado hao wote uliowataja utatoka nao tu sio shoga
Sio kichaa yaani ni ushenzi ujana una mengi na mengi nimefanya siwezi danganya.
Mbna ndo mnaongoza kudate na mashoga kuliko hata wanawake wenyeweee, huu unafiki wenu ndo maan mnashindwa kusimama kidete kupinga, couz hamjui mshike lipi. Lol
 
Jana nimeenda bar lishoga likajipendekeza ni mnunulie beer limenipa namba leo nikalichape hapa nipo bar nakunywa beer za kutosha nikamchape nisimuonee aibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaaaah, uwiiiiiiih
 
Wasi wasi ndo akili eti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una mnukuu mondi "wasiwasi ndo akili na kwako Sina wanakesha kulitabiri penzi kuchina Tena watu wakubwa wa mwili watu wazima oooh your fire baby (fire fire fire fire) ohh your fire baby (fire fire fire fire)"umenikumbusha mbali Sana coca-cola 🤣🤣🤣🤣 kula 🍖choma na biriani naja lipa
 
Back
Top Bottom