Starehe yako kubwa ni ipi?

Starehe yako kubwa ni ipi?

"Nakupenda sana Hip Hop, zaidi ya machizi wangu wa mtaa, acha wale naokesha nao baa".

What's up Roho 7. Long live homeboy.

-Kaveli-
 
Zamani ilikuwa pombe, weed na kusaga gomba daadeqi.

Miaka mingi kweli yaani huniambii kitu.

Ila sasa hivi furaha ninayoipata kwa kuspend all of my spare time with my kids, na side hustles siwezi kufananisha na kukesha nikilewa bar.
Duh mwenyewe nilikuwa addict wa veve. Nadhani niliacha kwasababu ya kuhama Arusha kwa muda.
 
Salam Wakuu,

Starehe zangu kubwa ni Kula, kulala, kufanikisha ndoto zangu, family ikifurahi.
and last , kula watoto flan hiv walaini wenye shade

Hakuna raha kama kula mademu wenye ngongingo or Chura

Napenda kugegeda lakin nimekoma niligegeda mtu naumwa had leo sina hamu na migegedo
 
Music [emoji445][emoji445] hapa kama nimelogwa, nasikiliza music 24/7.
Kudrive nikiwa nasikiliza mziki mkubwa, kwenda club/bar zenye mziki mkubwa, kusafir sehemu ambazo sijawah fika..
Mwisho kugegeda videmu vyeupe alafu vimodal [emoji1], yan nikiona kidemu cheupe alaf kimbau mbau akili inahama kabisa, hata nisipofakiwa kuongea nacho hilo eneo alipo nitarud tena tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom