Starehe yako ni ipi?

Starehe yako ni ipi?

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Jamani tuwe wakweli tu, ndio kila mtu analo jambo ambalo akilikosa ndani ya kipindi fulani bac hawezi kuwa sawa mpaka akipate kwanza! Kwa kweli mimi ikipita siku sijaingia humu Jamii forum, ni kosa la jinai….
 
Mazoezi

Kazi

Jf

Hivyo vitu kwangu ni mapacha haviwezi kutengana.
 
Jamani tuwe wakweli tu, ndio kila mtu analo jambo ambalo akilikosa ndani ya kipindi fulani bac hawezi kuwa sawa mpaka akipate kwanza! Kwa kweli mimi ikipita siku sijaingia humu Jamii forum, ni kosa la jinai….
Mmhhh kabla ya jf ulikua unaingia wapi?
 
Back
Top Bottom