Starehe yako ni ipi?

Nishamkaribisha PM ila naona kakosa pa kuanzia [emoji28]
ku- quote ama ku- like haimaniishi ndio kigezo cha mtu kuwa na interest nae.. me ni mtu ambae naependa ku- quote ama ku- like kama kitu kimenigusa au kumenihamasisha kufanya hivyo haijarishi ni cha mwaka gani..

joanah kutokuja kwang PM kwako haina maana kuwa siwezi maana kuja huko PM kwako wala silipii vat, ila naangalia ntakuja kuchat nn naww?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi chit chat

Kila binadamu naamini kipo kitu anachoenjoy kufanya
Binafsi napenda sana sana sanaaaa mziki ....hiyo ndiyo starehe yangu kubwa na huwa naenjoy sanaa

Wewe je?
Mimi napenda kuona mtoto mzuri kama wewe anatema maji kama cobra wakati nampiga brush!!!

kutoka: 22D Arnold st.
 
Usichukulie too serious
Hii ni chit chat mkuu
 
Starehe yangu kubwa NI kulenga shabaha, huwa nanunua risasi za kutosha kila mwisho wa wiki then naelekea target pale mbezi beach...masaa walau manne hivi basi rohoo kwatuuuuu buruuudani moyoni mwangu!!
 
nice

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…