daaah!! ni kweli unachosema lkn tafakari kwann umetaka kufanya watu wajue hisia zako kwangu kuwa huna interest na mm, ila wengi wanashindwa kujua kuwa uwe/usiwe na interest na Bulaya001 ama member yeyote humu haileti faida wala kipato.. me sijaja JF kutafta watu ambao watakuwa na interest na mm maana nakuona unavyojinadi kwa member eti huna interest na mm kwa iyo huwezi nifollow.. hv alieleta mada za kufollow ni mm ama ww.. tena unajinadi kuwa nimeshindwa kuku- PM.. Aseeee JF ina vipaji kweli nimeamin..!!Usichukulie too serious
Hii ni chit chat mkuu
daaah!! ni kweli unachosema lkn tafakari kwann umetaka kufanya watu wajue hisia zako kwangu kuwa huna interest na mm, ila wengi wanashindwa kujua kuwa uwe/usiwe na interest na Bulaya001 ama member yeyote humu haileti faida wala kipato.. me sijaja JF kutafta watu ambao watakuwa na interest na mm maana nakuona unavyojinadi kwa member eti huna interest na mm kwa iyo huwezi nifollow.. hv alieleta mada za kufollow ni mm ama ww.. tena unajinadi kuwa nimeshindwa kuku- PM.. Aseeee JF ina vipaji kweli nimeamin..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
basi usipende kiki, mimi ni mdogo wako kwa kila kitu (elimu/umri/mahusiano uliyoyapitia/kuwa member JF/sijajua na kwenye suala la kipato kama unanizidi) sasa simama kama ww wala usisimame kwa ajiri ya kuwa na interest na Bulaya001.Kweli JF kuna vipaji
Tuzoee tu
basi usipende kiki, mimi ni mdogo wako kwa kila kitu (elimu/umri/mahusiano uliyoyapitia/kuwa member JF/sijajua na kwenye suala la kipato kama unanizidi) sasa simama kama ww wala usisimame kwa ajiri ya kuwa na interest na Bulaya001.
Sent using Jamii Forums mobile app
kazingua sana, sasa anaposema hana interest na mimi ili iweje, kila mtu alikuja hum yy kama yy na si kwa ajir ya kumnufaisha flan.. sasa kama kupitia nyuzi zake imekuwa taabu. Mbna huko kwenye jukwaa la intelligence kuna nyuzi za 2004 lkn member tunachangia hata hv leo.. ama ameona kama muujiza me kukoment+kulike nyuzi zake za nyuma.. hawa viumbe taabu sana.U better stay Calm and Quite Nigga!! Vitu vidogo tu hivi visikuongeleshe sana.potezea
jitahidi kuchunga ulimi wako, maana hata mm staki watu ambao wana- interest na mm.Sipendi kiki
mimi ni sawasawa na Daudi Albert Bashite kabisaaa..... nina enjoy kusifu na kuabudu.Hi chit chat
Kila binadamu naamini kipo kitu anachoenjoy kufanya
Binafsi napenda sana sana sanaaaa mziki ....hiyo ndiyo starehe yangu kubwa na huwa naenjoy sanaa
Wewe je?
jitahidi kuchunga ulimi wako, maana hata mm staki watu ambao wana- interest na mm.
[emoji860][emoji860][emoji860]#staki kuwa interested na yeyote humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120]Labda nijitahidi kuchunga vidole vyangu...natype kwa kutumia vidole sio ulimi
Hebu tuishie hapa Bulaya001 ...nilikuwa nachit chat tu ila inaonekana umekuwa pissed sana nilivyoandika siko interested na wewe ngoja nikafute
Amani itawale...samehe kama nimekuudhi
Akuu nimemshindwa mimi huyo mchukue tuNiliikimbia JF kwa maumivu
Sitaki ugomvi na Khantwe mie
Mmi napenda sana kunywa maji uvugu uvugu kuangalia matumbawe na kuangalia mawingu
wanaume wachache wanaojua kucheza mziki sijui y..hongeraMuziki kuucheza na kuusikiliza kula mahanjumat ya kibongo, kusafiri hasa wakati wa likizo, kuangalia movies, kuangalia mpira wa miguu na michezo mingine mbali mbali kama Tennis, mbio, car race, basketball etc.