Starehe yako ni ipi?

Starehe yako ni ipi?

Usichukulie too serious
Hii ni chit chat mkuu
daaah!! ni kweli unachosema lkn tafakari kwann umetaka kufanya watu wajue hisia zako kwangu kuwa huna interest na mm, ila wengi wanashindwa kujua kuwa uwe/usiwe na interest na Bulaya001 ama member yeyote humu haileti faida wala kipato.. me sijaja JF kutafta watu ambao watakuwa na interest na mm maana nakuona unavyojinadi kwa member eti huna interest na mm kwa iyo huwezi nifollow.. hv alieleta mada za kufollow ni mm ama ww.. tena unajinadi kuwa nimeshindwa kuku- PM.. Aseeee JF ina vipaji kweli nimeamin..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli JF kuna vipaji

Tuzoee tu
 
U better stay Calm and Quite Nigga!! Vitu vidogo tu hivi visikuongeleshe sana.potezea
kazingua sana, sasa anaposema hana interest na mimi ili iweje, kila mtu alikuja hum yy kama yy na si kwa ajir ya kumnufaisha flan.. sasa kama kupitia nyuzi zake imekuwa taabu. Mbna huko kwenye jukwaa la intelligence kuna nyuzi za 2004 lkn member tunachangia hata hv leo.. ama ameona kama muujiza me kukoment+kulike nyuzi zake za nyuma.. hawa viumbe taabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jitahidi kuchunga ulimi wako, maana hata mm staki watu ambao wana- interest na mm.

[emoji860][emoji860][emoji860]#staki kuwa interested na yeyote humu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Labda nijitahidi kuchunga vidole vyangu...natype kwa kutumia vidole sio ulimi

Hebu tuishie hapa Bulaya001 ...nilikuwa nachit chat tu ila inaonekana umekuwa pissed sana nilivyoandika siko interested na wewe ngoja nikafute

Amani itawale...samehe kama nimekuudhi
 
NAPENDA KUKAA PEKE YANGU, AU KAMA NIPO NA WATU NIWE MSIKILIZAJI TU. KUCHATI NA UTANI HASA TEXTS, WASAP, FB, JF

MOVIES HASA KATUNI NA ACTIONS SIPO MBALI NAZO
 
mie namba 1 ni muziki mzuri..i mean napenda kucheza...
2.Napenda kupika na kula vzr
 
Muziki kuucheza na kuusikiliza kula mahanjumat ya kibongo, kusafiri hasa wakati wa likizo, kuangalia movies, kuangalia mpira wa miguu na michezo mingine mbali mbali kama Tennis, mbio, car race, basketball etc.

wanaume wachache wanaojua kucheza mziki sijui y..hongera
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom