Starehe yako ni ipi?

Starehe yako ni ipi?

Hi chit chat

Kila binadamu naamini kipo kitu anachoenjoy kufanya
Binafsi napenda sana sana sanaaaa mziki ....hiyo ndiyo starehe yangu kubwa na huwa naenjoy sanaa

Wewe je?
Wiki end hii tutskuwa wp etii
 
Mambo mengine muwaachie watu Sio kilaza kitu hapa
 
Muziki kusikiliza au kucheza?
unaependa nyimbo zipi?
unacheza wapi?nyumbani au night clubs?


mimi starehe yangu ni internet ...
Vyote..kusikiliza,kucheza&sometimes kuimba

Kucheza napo ni kote...nyumbani&huwa nikipata chance naenda club
 
Wewe inabidi utoke na kizee mwenzako bi faiza foxy

Tuachie vijana tutoke vijana kwa vijana

Ujana wako ule na nani uzee ukamalize kwa joanah?

Huoni aibu?

Huyo joanah umemzidi miaka si chini ya 30
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kagame ninabeba yoyote ni mtakaye, hata mkeo ukizubaaa...joking mkuu
 
mimi napenda sana ganja for recreational and medicinal unaweza ukaniudhi to the maximum ila nikitoka nikachoma joint moja unaweza kushangaa nakuwa nimesahau ujinga wote na tutaendelea kuwa marafiki ila nikiwa na stress na nikakosa ganja you better stay away from me!
 
Vyote..kusikiliza,kucheza&sometimes kuimba

Kucheza napo ni kote...nyumbani&huwa nikipata chance naenda club
Unajua kumwaga unoo eeeh?

Natamani ningekuwa nyuma yako nakubambia bambia nikifaidi hilo takoo lako .
 
Back
Top Bottom