Starehe yako ni ipi?

Starehe yako ni ipi?

Starehe yangu mm ni

Kick_ Kumfanyia mtu kakitu kakijinga jinga kenye usumbufu bila faida, na wakati mwingine kana faida ila kanaleta usumbifu usiokua wa lazima. (Means kamuinjoyo) mm ndio na enjoy sasa kinoma, kwangu inakua kama starehe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi chit chat

Kila binadamu naamini kipo kitu anachoenjoy kufanya
Binafsi napenda sana sana sanaaaa mziki ....hiyo ndiyo starehe yangu kubwa na huwa naenjoy sanaa

Wewe je?
Kiubinadam hapa duniani Starehe kubwa kwangu ni Pesa, msosi na Papuchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mimi nafikiri kwa mimi upande wangu"

American movie only yaani uwezi amini hata demu kwangu "nothing"
 
Street Racing & Drifting... Dah.. inanilia sana Hela.. Tunawekeana hela mshindi anachukua... Naliwa sana.. Na kuchakaza matairi kisa sifa.. Dah.. life goes on

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom