Tuko sambambaChura![emoji53][emoji53][emoji53]
Acha uzinzi mkuu utakusababishia ufukaraHabari wakuu, mimi binafsi starehe yangu kubwa napenda sana mademu, yaani nikiwa na mtoto mkali nasikia sana raha je wewe mwenzangu starehe yako ni nini
Hahahahahaha dahDah....miye kukimbiza vibaka....yaani nikisikia kelele tu hata kama nilikuwa naoga naacha...geto kwangu silali bila lita5 za petrol[emoji13]