Starehe yako ni ipi?

Starehe yako ni ipi?

CUBICBOY

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
306
Reaction score
223
Habari wakuu,

Mimi binafsi starehe yangu kubwa napenda sana mademu, yaani nikiwa na mtoto mkali nasikia sana raha.

Je wewe mwenzangu starehe yako ni nini?
 
Naendelea kuangalia aina za comments za hapa kisha naendelea na tathmini yangu kuhusu JF thinking capacity ya new members. Ofcoz ndio wanaochangia sana nyuzi za aina hii
 
Dj naomba play nyimbo ya FEROOZ FT PR.JAY [HASHTAG]#starehe[/HASHTAG]
 
Unajifanya haya huyajui,huyataki,hujawahi hufanya wala hayaingii masikioni mwako! nikweli upo hivyo? hawa ndiowale wakina kibandiko nifiche[emoji57] wakiwa pekeyao mafichoni wanajiachia mpaka wanasahau familia zao!!!! achakabisa - hata uwenani uafanya ¥$¢€×¶∆✓=°^
 
Back
Top Bottom