Mi bhana kuchati na kunywa kahawa vijiweni na kupiga piga stori baada ya hapo jioni kujisomea bibliaHabari wakuu,
Mimi binafsi starehe yangu kubwa napenda sana mademu, yaani nikiwa na mtoto mkali nasikia sana raha.
Je wewe mwenzangu starehe yako ni nini?
hahaaaDraft na social network
We mpenda madame subiri kupanga line za kuchukua ARV after six months[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Just jokes
Wee hupendi pesa kama mimi!napenda mnoo kusocialise kama hvi ..napnda biashara mnooo ..yaani Pesa ndio kama kivuli changu ...
nimewahi kuweka maisha yangu mpka rehani kwaajili yakupata mapesa mengi ..but sasa hvi kidogo nimepunguza hiyo motisha baada yakukutana na watu fulani hivi na wakanipatia mawili matatu ambayo yamenisaidia kidogo kupunguza hamasa niliyokuwaga nayo
aiseee maybe ..halafu kumbe umeolewa ..geeezzzWee hupendi pesa kama mimi!
Hadi my hubby ananiambaga mtoto punguza kupenda hela khaaa!
Sawa kaka ngoja niipakue sasa hivi.katafute hii film inaitwa Limitless ya Bradley Cooper...
Umeongea ukweli wengi tunapenda matomb.oKugegeda Na kitu Cha Arusha