Starehe yako ni ipi?

Starehe yako ni ipi?

1.
[emoji117] [emoji108]
[emoji117] [emoji108]
[emoji117] [emoji108]
[emoji97]
[emoji97]
[emoji98]

2. [emoji377] [emoji377] [emoji377]

3.[emoji486] [emoji490] [emoji492] [emoji493] [emoji489] [emoji488] [emoji487] [emoji513] [emoji510] [emoji511] [emoji502] [emoji501] [emoji500] [emoji506] [emoji519] [emoji520] [emoji521] [emoji529] [emoji525] [emoji531] [emoji523] [emoji530]
 
Habari wakuu,

Mimi binafsi starehe yangu kubwa napenda sana mademu, yaani nikiwa na mtoto mkali nasikia sana raha.

Je wewe mwenzangu starehe yako ni nini?
Mi bhana kuchati na kunywa kahawa vijiweni na kupiga piga stori baada ya hapo jioni kujisomea biblia
 
napenda mnoo kusocialise kama hvi ..napnda biashara mnooo ..yaani Pesa ndio kama kivuli changu ...

nimewahi kuweka maisha yangu mpka rehani kwaajili yakupata mapesa mengi ..but sasa hvi kidogo nimepunguza hiyo motisha baada yakukutana na watu fulani hivi na wakanipatia mawili matatu ambayo yamenisaidia kidogo kupunguza hamasa niliyokuwaga nayo
 
napenda mnoo kusocialise kama hvi ..napnda biashara mnooo ..yaani Pesa ndio kama kivuli changu ...

nimewahi kuweka maisha yangu mpka rehani kwaajili yakupata mapesa mengi ..but sasa hvi kidogo nimepunguza hiyo motisha baada yakukutana na watu fulani hivi na wakanipatia mawili matatu ambayo yamenisaidia kidogo kupunguza hamasa niliyokuwaga nayo
Wee hupendi pesa kama mimi!

Hadi my hubby ananiambaga mtoto punguza kupenda hela khaaa!
 
Asalaam ! Wana jf. Mimi katika maisha yangu starehe yangu kubwa ni kuangalia movie za mapigano na za vita au kusoma Vitabu vinavyousu mambo ya intelijensia.
Nikitoka Kazini jioni napenda kujifungia ndani na kuangaria movie Kali hasa zisizotumia sana technology na kutolewa uhalisia.
Nini stare yako, au ni kitu gani ukikifanya kinafanya moyo wako ujisikie vizuri. Ukikuta kuna mwenzako mnapenda kitu sawa gonga like.!!!!
 
Napenda kuride... yeah mimi ni rider. Kucheza na baja.
 
Kucheki series
Hapo ndio mwisho wangu hata shemeji yako akija simgusi hadi season iishe
 
Kuperuzi Jamiiforums, huwa nacheka sana kwenye ule mtandao.

Ile kitu nimeiweka moja kati ya starehe yangu na nyingine ni kupiga guitar na Kinanda hivi vitu ndio ulevi wangu.
 
Kusoma hadithi tamu na fikra za watu mbalimbali humu JF
 
Back
Top Bottom