Starehe yako ni ipi?

Starehe yako ni ipi?

Starehe yangu kubwa ni staying indoor hasa nikiwa na nimpendae, kuchek movies au kusikiliza muziki au kupika
 
Starehe yangu [emoji5]sina starehe mpk sasa na sitamani starehe maana ukianza starehe unageuka kuwa kafiri nami sipendi wala kutaka kitu iki
 
Back
Top Bottom