Starehe yako ni ipi?

Starehe yako ni ipi?

Umeongea ukweli wengi tunapenda matomb.o
Hv kitu cha Arusha unapata kiurahisi huko uliko?
wagambia Na wasenegal ndio biashara Yao hiyo. Inapatikana Ila siyo fresh msokoto mmoja tu Ni Kama elfu 60 madaf. Hii kitu Ni Lulu unaweza kumuhonga demu kwa msokoto ukampiga pumbu za laana
 
Kujifunza na kujifunza kitu kipya walau mara kwa mara haswa napojumuika na wenzangu.
 
Yani nikipata k vant ndogo mbili safari(mwendokasi) tano, pakiti ya sigara (ubalozi) huku nasaga gomba taratibu shavu la kushoto huku nikiwa nimeshakula mishumaa(misokoto) ya marry jane miwili huwa nahisi niko karibu na mbingu
 
Dah....miye kukimbiza vibaka....yaani nikisikia kelele tu hata kama nilikuwa naoga naacha...geto kwangu silali bila lita5 za petrol[emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]
 
Habari wakuu,

Mimi binafsi starehe yangu kubwa napenda sana mademu, yaani nikiwa na mtoto mkali nasikia sana raha.

Je wewe mwenzangu starehe yako ni nini?
Huo ndo ugonjwa wetu hata mi naumwa huo huo mkuu hasiyeumwa anapumuliwa mgongon
 
kutazama porno
Haka kastarehe kanaendana na mwenzake mmoja.... yan unaposema unapenda kutazama porno... wakubwa tunakuwa tumeelewa kuwa unapenda na kupanda mnazi kwa mkono mmoja....
Ila nakushauri aaaachaaaa...
 
Mzee wa vikali au najulikana kama black lebel...
Kuhusu kukazana hilo ni jukimu la kila anayedindisha
 
Asalaam ! Wana jf. Mimi katika maisha yangu starehe yangu kubwa ni kuangalia movie za mapigano na za vita au kusoma Vitabu vinavyousu mambo ya intelijensia.
Nikitoka Kazini jioni napenda kujifungia ndani na kuangaria movie Kali hasa zisizotumia sana technology na kutolewa uhalisia.
Nini stare yako, au ni kitu gani ukikifanya kinafanya moyo wako ujisikie vizuri. Ukikuta kuna mwenzako mnapenda kitu sawa gonga like.!!!!
Tuko pamoja sana mkuu interest ziko sawa
 
Back
Top Bottom