Starlet Glanza

Starlet Glanza

dizasta

Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
8
Reaction score
2
Wakuu kwema,

Sijawahi kumiliki ndinga ila nimejichanga nataka nianze na starlet glanza wenye kuijua gari hii wanisaidie uzuri na changamoto zake tafadhar.
 
Mnhhh me sijui ingekuwa mikokoteni ningekushauri,subiri waje
 
Wakuu kwema
Sijawahi kumiliki ndinga ila nimejichanga nataka nianze na starlet glanza wenye kuijua gari hii wanisaidie uzuri na changamoto zake tafadhar.
Mkuu nunua Ist tu , uendelee na issue zako
 
Wakuu kwema
Sijawahi kumiliki ndinga ila nimejichanga nataka nianze na starlet glanza wenye kuijua gari hii wanisaidie uzuri na changamoto zake tafadhar.
Mbaya sana haifai
SIti za Nyima zinabana sana naifaham hiyo gari vizur.
Sikushaur ununuwe Starlet Glaza yani ni bora ukanunuwe Ist, Allex, Runx, Premior, Allion,Spacio, Raum etc
 
Wakuu kwema
Sijawahi kumiliki ndinga ila nimejichanga nataka nianze na starlet glanza wenye kuijua gari hii wanisaidie uzuri na changamoto zake tafadhar.
Simple fantastic machine chukua bila kusita
 
Kama bado Hujapata njoo pm, nikupe glanza kwa bei nzuri Sana iko Tanga ila haina turbo
 
Starlet Glanza hata kama wewe ni mpenda mbio barabarani basi uyo mdudu ndo pahala pake.
Chukua mdudu uyo yuko vizuri.
 
Back
Top Bottom