Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
zinakuja
Tunazisubirizinakuja
Sasa ni nini kinachochekesha hapo???Hahahaha!!!
!Hahahaha!!!
Dalali funguo ya gari hana
Mpk anauza gari anajua kinachomsumbua, anampasia mwingine mateso , anatua mzgoHiii gari mwenyewe angejua soon Starlet zitapanda bei kama beetle asingeitoa kwa bei hiyo. Kwa kifupi anaza bei chee sana
Nilikuta mnazi mmoja pale Starlet nyeupe jamaa anakomaa anataka 9M..nimeshangaa jamaa anauza kwa hela ya bia Mil.3..anyways wachache watakuelewa!Hiii gari mwenyewe angejua soon Starlet zitapanda bei kama beetle asingeitoa kwa bei hiyo. Kwa kifupi anaza bei chee sana
Nimeiona Mav* Ya Mbuzi Number 3 Ndiyo Atakayolamba Mnunuzi