Russia is not your enemy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 373
- 625
Ndg wana izengo habari za wakati huu.
Katika kuyaanza maisha wengi walianza na starlet kijichuma kidogo dogo very economy.
Hivi vimeishia wapi? Wengi walioanza na usafiri mara baada ya kuhitimu na kukwaa ajira walikamata hivi vidude, nilikuwa nikiwaza kwa nn wajuba wanachukua vibati hivi?
Jibu sikiwa nalo, binafsi niliona vyuma vyuma vya maana kununua ni premio na balloon na gx100 wakati ule. Sikuwa mpenzi wa Carina au Corolla almaarufu TI.
Hizo zingine zipo moja moja lkn yapata mwaka sasa sioni starlet. Vimeishia wapi, wkati watu wakiwa wanahangaika na vitz IST nk wadudu wale bado walikuwa economy sana??.