Russia is not your enemy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 373
- 625
Dah afadhali maana vilitutoa mbaliStarlet zipo hadi namba e zipo boss sema kwa uchache sana. Ile gari haina comfort
Ndg wana izengo habari za wakati huu.
Katika kuyaanza maisha wengi walianza na starlet kijichuma kidogo dogo very economy.
Hivi vimeishia wapi? Wengi walioanza na usafiri mara baada ya kuhitimu na kukwaa ajira walikamata hivi vidude, nilikuwa nikiwaza kwa nn wajuba wanachukua vibati hivi?
Jibu sikiwa nalo, binafsi niliona vyuma vyuma vya maana kununua ni premio na balloon na gx100 wakati ule. Sikuwa mpenzi wa Carina au Corolla almaarufu TI.
Hizo zingine zipo moja moja lkn yapata mwaka sasa sioni starlet. Vimeishia wapi, wkati watu wakiwa wanahangaika na vitz IST nk wadudu wale bado walikuwa economy sana??.
😂 😂Starlet ni trekta 🚜 lililochangamka
DahStarlet ni trekta [emoji609] lililochangamka
Toyota pale nyerere rd inauzwa 30m zero kilometer, toleo 2021/2 nadhaniNdg wana izengo habari za wakati huu.
Katika kuyaanza maisha wengi walianza na starlet kijichuma kidogo dogo very economy.
Hivi vimeishia wapi? Wengi walioanza na usafiri mara baada ya kuhitimu na kukwaa ajira walikamata hivi vidude, nilikuwa nikiwaza kwa nn wajuba wanachukua vibati hivi?
Jibu sikiwa nalo, binafsi niliona vyuma vyuma vya maana kununua ni premio na balloon na gx100 wakati ule. Sikuwa mpenzi wa Carina au Corolla almaarufu TI.
Hizo zingine zipo moja moja lkn yapata mwaka sasa sioni starlet. Vimeishia wapi, wkati watu wakiwa wanahangaika na vitz IST nk wadudu wale bado walikuwa economy sana??.
hamna kitu kama hicho...Toyota pale nyerere rd inauzwa 30m zero kilometer, toleo 2021/2 nadhani
hamna kitu kama hicho...
Haya hio hapo nimekuquote,…hamna kitu kama hicho...
kweli mkuu,nimeona,ila nafikiri hata interior itakuwa vizuri.Haya hio hapo nimekuquote,…
ila nafikiri hiyo bei ni bila VAT,na mambo mengine
Nina ki allex nimekinunua two weeks ago kina fuel consumption nzuri kistarlet cha kisasaToyota wamekuboreshea kuroka starlet mpk runx au allex hizo ni starlet kabisaaaa ila za kisasa kwendana na wakati. Tuishi humo