Starlink inafanya kazi Tanzania, mkibisha muulizeni Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Huwezi kusema umebinya uhuru halafu mpaka nyumba yako unayotumia dishi la tv kuangalia tv kusema umebinya.

Msigwa najua upo hapa JF ila kumbuka kwa sasa kuna vifaa vinatumia hata TCRA wako na miradi wako wana habari tunazipata,

Wakuu mimi natumia hiki kifaa hapa Tanzania malipo nalipa ya Mwigulu waziri maana pesa lazima kwenda nchi.
 
Dish na installation nzima ikoje nitatumia kwa siri kijijini kwangu watajua ni dish la tv
 
kenya wanauza kifaa pale hakina installation kina tafuta chenyewe setelite na sasa wametoa kipya unawza kutembea nacho na ukitumia na power bank
 
Wanaofanya installation kwa kenya wakiibuka TZ watapiga pesa sana...Kila mtu ataweka maana tushachoka kuminywa internet kwa order za WAHUNI.
 
kenya wanauza kifaa pale hakina installation kina tafuta chenyewe setelite na sasa wametoa kipya unawza kutembea nacho na ukitumia na power bank
Vinapatikana kenya tu
 
kenya wanauza kifaa pale hakina installation kina tafuta chenyewe setelite na sasa wametoa kipya unawza kutembea nacho na ukitumia na power bank
Wanapatikana wapi wana page yeyote kwa mitandao ya kijamii
 
Nimefuatilia na wana namba ya whatsap kabisaa sema daah hii ya kutuma hela utumiwe mzigo na mzigo wenyewe ni haramu kwetu sijui imekaaje hii
 
Back
Top Bottom