Starlink: Mkombozi pekee wa Mawasiliano wakati wa D9

Hili mbona ni tangazo la biashara mkuu? Umelipia?
 
Ambacho hujui ni kuwa hata Starlink lazima apate ithibati ya TCRA ili aweze kufanya kazi tanzania, ithibati hii ni pamoja na masafa/mawimbi au frequencies atakazotumia ili watu walioko Tanzania wapate hiyo internet.

Bila kuoewa masafa hawezi kutoa services zake Tanzania kwa maana atakuwa na interferences Sana na service nyingine na service yake itakuwa mbaya

KWa kifupi satellite communication sio teknolojia Mpya. Na ipo inatumika na makampuni mengine, Hata hao voda na wengine wanasatelite communication as a backup communication system.
 
Hao watu hua wanaweza kufikisha na ku active mtandao wa internet popote bila idhini yoyote, muhimu wapate sababu na njia/ nafasi ya kuingilia, fanya marejeo ya ELON MUSK na TRUMP na huko UKRAIN na popote pale ambapo kuna hekaheka na internet imezimwa, miundombinu imeharibiwa, ila kuna kila access ya mtandao ya kuweza kuendesha DRONES, HABARI, MAKOMBORA, UNMANNED JET FIGHTERS etc. hii inawezekana kama wataona wana interest nyeti.

Mfano ya hiyo screenshot ni baada ya miundombinu ya ukrain ya mawasiliano kuzimwa na kuharibika yeye alipeleka huduma kwa ajili ya vifaa vya kijeshi na habari viendelee kupiga mzigo, ila kuna siku aliizima wakapoteana kama jamaa zetu hapa walivyopoteana Mo29
 

Attachments

  • Screenshot_20251130-210916.png
    700.7 KB · Views: 30
Hakuna unalojua balaa la Elon Musk na Starlink yake. Kaa kimya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…