Starlink: Mkombozi pekee wa Mawasiliano wakati wa D9

Mkuu kwa maelezo haya sidhani kama serikali ya Samuya aka Bi Tozo itakubali starlink ifanye kazi ndani ya mipaka ya Tanzania. Tutasubiri sana.
 
Their eyes and ears are on constant surveillance on this platform mkuu 😃
Majibu ya namna hii mimi hunishangaza sana!

Kwamba unaogopa au inakuwaje?

Anonmous Id inafaida gani sasa!

Tuseme mtu umejificha uvunguni na uvunguni humo unataka ujifiche na uso ufumbe macho kabisa!

Uoga gani huo?

Kumbuka kupeana habari siyo kutekeleza, uoga wa hivi unautoa wapi?
 
Ninafahamu watu wanaofanya biashara hizo ila je una uhakika nikiweka hapa sitowaletea hatari!?
 
Naona watu wengi wamekuwa wakiuliza kuhusu namna ya kupata huduma hii, hawa ni baadhi ya dealers ambao wanatoa huduma hiyo:
1. Shopit Global ambao hawa pale Kigoma maeneo ya Kigoma Mjini wana wakala wao.
2. Paratus Africa hawa wapo Dar es Salaam town hapo hapo! Hao ndio wanatoa huduma hata kwa ofisi za serikali na undercovers wa TISS. Mara ya mwisho ofisi zao zilikuwa pale Ferry ndani ndani ila kwa sasa sijajua ipo wapi.
3. AfricaSatellite walikuwa na ofisi ya wakala Mwanza pamoja na Kilimanjaro ila nadhani Kilimanjaro ndio imebakia kwa sasa.
4. Mwaka jana kulikuwa na jamaa wanaitwa Aura niliwaona pale Mbeya Tunduma. Ila sijajua kama wanafanya kazi.
3. Mwisho kabsa GlobalTT wapo Kigoma, wana wakala wao ambaye mara kadhaa amekuwa akiunganisha watu.

KAZI KWENU WAKUU
 
Since 2023….
Countries with Starlink service
Benin, Botswana, Burundi, Cape Verde, Eswatini, Ghana, Kenya, Liberia, Madagascar, Malawi, Mozambique, Niger, Nigeria, Rwanda, Sierra Leone, Somalia, South Sudan, Zambia, and Zimbabwe.
Bi Chura hawezi Kukubali hata kidogo
 
Hakuna starlink ya laki tatu. Nyumbu huwa hamna akili kabisa
Umedandia treni kwa mbele 😃 chura mna kazi sana! Tafuta dictionary kisha tazama neno additional fees maana yake! 😃 ndio maana mnaambiwa hamna uwezo wa kubishana kwa hoja 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…