Starlink: Mkombozi pekee wa Mawasiliano wakati wa D9

Mkuu kwa maelezo haya sidhani kama serikali ya Samuya aka Bi Tozo itakubali starlink ifanye kazi ndani ya mipaka ya Tanzania. Tutasubiri sana.
Nadhani kuna kitu watu hawaelewi...issue ikiwa saterite means inashika bila kuathiriwa na mawingu au access ya nchi husika..ni sawa na watu kutumia cable ya canal TV hapa Tanzania

Na kuangalia mpira bila kikwazi chochote kile maana ile ni satelite

Kikubwa ni kuwa na access na starlink basi ambapo ukilipia kenya mradi una vifaa vyq starlink..wewe unqendelea kuperuzi hata TCRA wakizima net
 
Sawa ila nina maswali mawili:

1. Hiyo star linnk ninaipataje?
2. Vipi wakizima umeme?
 
Sawa ila nina maswali mawili:

1. Hiyo star linnk ninaipataje?
2. Vipi wakizima umeme?
Maswali yako ni mazuri sana Mkuu!
1. Starlink kwa sasa dealers wapo ambao sio rasmi kwa sababu TCRA hawataki mfumo huu.
2. Kama una solar itapendeza sana ila TANESCO wanaweza kuzima umeme (80%)
 
Hapo sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…