Sioni sababu kubwa ya kupeleka mechi Zanzbar. Labda anayejua atujuze.
Samatta nae anacheza ligi ya ndani!?wadau samatA ndan kesho au ?
Taifa Stars ikitaka kushinda kesho ipangew hivi:
(1) Mwadini Ally
(2) S Kapombe
(3) Mwinyi Haji
(4) H Isihaka
(5) Nadir H
(6) J Mkude
(7) S Mdelwa
(8) A Banda
(9) S. Msuva
(10) A Kiemba
(11) Kelvin F
Sub: H. Dilunga, A. Green & R Mandawa
Mwadini Ally ana uwezo gani wa kumuweka nje Aishi Manula!!!
Au Kiemba amefanya nini kwenye ligi iliyoisha mpaka umpange yeye halafu umuwache nje Rashidi Mandawa??!
Kumbe na wewe uliepanga kikosi hapo juu hauna utofauti na kocha Mart Nooij.