STARS kuwavaa Madagascar leo

STARS kuwavaa Madagascar leo

Tatizo ni kocha, hivi kwa nini tusimuazime babu wa Yanga? maana tuwe wakweli, ameikuta Yanga inacheza hovyo, akafanya kazi nzito, na kweli tumeona mabadiliko makubwa katika kupanga mashambuli, na kujilinda.

mchawi mpe sifa yake,hii timu tumpe pluijm
 
Back
Top Bottom