Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hili ndiyo tatizo kubwa....hakuna cha samata wala nanui arifu......wachezaji stars hakuna anaejituma ni kama wamerogwa.....mazoezi hawafanyi iweje washinde bana...... nashabikia msumbiji.....
Sijui kwanini leo ninaimani na kikosi cha Taifa Stars jkama kitapangwa hivi... 1.JUma kaseja 2.Sajingwa 2.Mwasigwa 4.Juma Nyoso 5.....(AZAM) 6.....(Mtibwa) 7. Mrisho Ngasa 8. N. Khalifan 9. John Boko 10. Abdi Kassim 11. Hussein Javu
Samata hajaitwa kaka....nizar atacheza 8 kama sikosei....nmesikia wanasema eti boko katemwa. pale mbele atakuwepo Samata. katikati atakamata nizar alfan.
Kweli binafsi tukifungwa imefungwa Taifa stars ila sijui kwanini Sabmatta ahajaitwa ila timu ni nzuri wakijituma tunashinda...OFFICIAL
Taifa Stars: Juma Kaseja 1,Shadrack Nsajigwa 14, Stephen Mwasika 3,Juma Nyoso 4
Aggrey Morris 6,Shabani Nditi 19, Nizar Khalfan 16, Mwinyi Kazimoto 15, John Bocco 9
Abdi Kassim 13,Vincent Barnabas 17
Substitutes:
Mwadini Ally 18, Shomari Kapombe 20,Waziri Salum 21,Salum Abubakar 11,Mrisho Ngassa 8,Hussein Javu 12 na Nsa Job 10
Sasa kaeni mguu upande brass bendi inaanza kupasha kwa ajili ya nyimbo za taifa, nikisema mguu sawa...Mungu ibariki Aaafriikaa, Wabarikii viongozi wakeee.... (ila viongozi mafisadi Noo plz!!)
nmesikia wanasema eti boko katemwa. pale mbele atakuwepo Samata. katikati atakamata nizar alfan.
Achaneni utani na Mungu aiseeee......yaani akubalikini kwa lipi aisee? mnategemea miujiza eti leo mshinde? hell noooo......mnapigwa zaidi ya 2....Mungu ibarik Tz, maana machungu ya MARATHON bado hayajaisha.
Hehehe msumbiji wanacheza kama wenyeji kulaleki!
mambaz piga taifa star migoli ka 8 hivi .....tuko nyuma yenu kuwashangilia ....usiogope ukubwa wa samaki ulizeni bei tu ...