Stars vs Moroco in JF

Mpira kwisha!

Now it's time for the excuses. The same ones they use every year!
 
ila tumejitahidi yaani 3-1..nafikiri tuhamie kwenye bongo muvi labda tunaweza tukatoka.. mweh!
 
sasa imefika wakati wa Poulsen kuachia mikoba maana hakuna alichofanya tangu maximo aondoke zaidi ya kufungwa tu , kushinda kwake kumekuwa ni kwa bahati sana.....hana jipya
 

Umenena vyema!
 
Huyu Poulsen si angechukua wachezaji ama timu nzima ya JKT Oljoro kuliko wachezaji wa timu mbali mbali wasiojuana namna yao ya uchezaji kama Spain kwa Barca vile
 
Watu wana SIGN OUT tartiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu tehtehteh! Taifa stars Presha Simba Sports Club Presha LiverpoolFC Presha Bora niwache kutizama mipira. Timu za East Africa Presha.
 
Ingekuwa Taifa washabiki wa Simba wangehesabu pasi
mpaka wangechoka 1................................164................176
 
Dah hiyo listi Bora tungekuwa wachezaji sie Tehtehteh Tumeondoka kwa aibu duh kumbe tulikuwepo wengi.
 
Heko taifa stars!Nawapongeza kwa kutofungwa magoli 20! Kwa kweli mmejitahidi mana kwa hali ilivokuwa uwanjani,mlikuwa wa kuchezea hata bao 22! Am proud of u guys heheh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…