Stars VS zimbabwe

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Mechi itaanza saa 2:00 usiku,tutarajie makubwa
==
Unaweza fatilia kupitia @TAIFASTARS twiter.
==
FT: Zimbabwe 1- 1 Stars
Shukran nyingi kwa SAMAGOAL
aliyetokea bench
 
Tutawapiga goli 2 au 3

Wakikaza sanaa watadraw.
 
Ile timu inajua mpira sana, tunaweza kupigwa kipigo cha mabao mengi.
Hahahaha, kuna siku niko hapa Lubumbashi na wacongo man , siku hy kulikua na mechi za makundi Zimbabwe na RDC ,RDC wako uwanja wa nyumbani Kinshasa ,

Nikawaambia Zimbabwe wanawafunga hawa jamaa wanajua sana na wengi wako south Africa wanacheza first eleven timu zao ,ukawa ubishi ,dakika 90 zinaisha Zimbabwe 2- 1 RDC ,hawakuamini
 
Ni moja ya timu nzuri sana kusini mwa jangwa la Sahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…