Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimbabwe wazuri mno ,nakubaliana na wewe Mkuu wasiwachukulie poaUsifikiri ubovu wa Zimbabwe kiuchumi ndiyo huo huo hata kwenye mpira. Tunapigwa tena leo.
Ile timu inajua mpira sana, tunaweza kupigwa kipigo cha mabao mengi.Zimbabwe wazuri mno ,nakubaliana na wewe Mkuu wasiwachukulie poa
Hahahaha, kuna siku niko hapa Lubumbashi na wacongo man , siku hy kulikua na mechi za makundi Zimbabwe na RDC ,RDC wako uwanja wa nyumbani Kinshasa ,Ile timu inajua mpira sana, tunaweza kupigwa kipigo cha mabao mengi.
Ni moja ya timu nzuri sana kusini mwa jangwa la Sahara.Hahahaha, kuna siku niko hapa Lubumbashi na wacongo man , siku hy kulikua na mechi za makundi Zimbabwe na RDC ,RDC wako uwanja wa nyumbani Kinshasa ,
Nikawaambia Zimbabwe wanawafunga hawa jamaa wanajua sana na wengi wako south Africa wanacheza first eleven timu zao ,ukawa ubishi ,dakika 90 zinaisha Zimbabwe 2- 1 RDC ,hawakuamini
Mechi saa 3:00 sio mbiliMechi itaanza saa 2:00 usiku,tutarajie makubwa
Azam sports 2Mechi itakuwa live channel gan?
Poa nashukuru kwa kunijuza.Azam sports 2
Tutarajie point tatu sio?Stars anashinda leo
point 3 kwenye friend matchTutarajie point tatu sio?
Kina nani?Ngoja waje
Umeuliza au umeshangaa? Maana kwenye maelezo hufaninii.point 3 kwenye friend match