Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
ππππwalete senegal
Cr7 wa africa,Khama biliat alicheza?Mechi itaanza saa 2:00 usiku,tutarajie makubwa
==
Unaweza fatilia kupitia @TAIFASTARS twiter.
==
FT: Zimbabwe 1- 1 Stars
Shukran nyingi kwa SAMAGOAL
aliyetokea bench
Unasikia wewe vipi?Nasikia wanaonyesha Azam sport 2,ila kwenye app yao kama kawaida yao hawataki tuangalie
Are you always stupid or today is special occasion?hii timu imeenda kutia aibu huko... itapigwa kipigo cha mbwa koko.
Kombe la babuTaifa Star wanabeba kombe
Tumewapiga ngapi hao wazimbabwe
ngoja tumuulize injiniaNgapi hukoo?