Stars VS zimbabwe

Stars VS zimbabwe

Zimbabwe wapo vizuri kuliko kenya
Waliwapiga DRC, Congo, Liberia
Wakatoka 0-0 na Nigeria kwenye mechi ya majaribio
Ilikuwa mechi sahihi ya majaribio
 
hii timu imeenda kutia aibu huko... itapigwa kipigo cha mbwa koko.
 
Mechi itaanza saa 2:00 usiku,tutarajie makubwa
==
Unaweza fatilia kupitia @TAIFASTARS twiter.
==
FT: Zimbabwe 1- 1 Stars
Shukran nyingi kwa SAMAGOAL
aliyetokea bench
Cr7 wa africa,Khama biliat alicheza?
 
Write your reply...
sio mbaya lakini leo mungu alikuepo upande wetu
 
Stars inazidi kuimarika tunavyozidi kukaribia michuano! Kila laheri Star's
 
Back
Top Bottom