Ningekuwa mimi ni Magufuli ningesimamisha ushiriki wa hii timu kwenye michezo ya kimataifa kwa miaka 5 ijipange upya
Nipo hapa mkuu Ila mie nipo Syria huku kwa ISIS vp twaweza badilishanaKuna mtu yeyote anaetaka kuja taNzanIA tubadilishane jamani nauliza!! kuna mtu yoyote anataka kubadilishana uraia na tanzania? hakuna jibu!
Ningekuwa mimi ni Magufuli ningesimamisha ushiriki wa hii timu kwenye michezo ya kimataifa kwa miaka 5 ijipange upya
Hivi taifa stars waache kujitetea, waseme tu wanapaswa kuwekeza zaidi.
Kule kwa waarabu waliona wamefanyiwa tricks nyingi, mara Mpira unadunda sasa hii ya kuchapwa na Ethiopia, baridi iliwachosha. Kwa nini hawakujifulia Arusha au Iringa?
Pia wamefungwa kwa penalties sasa hiyo baridi inaingiaje? Wajifue na wajitoe zaidi tu banaa