Siyo kweli mkuu, pamba iliwafunga washelisheli goli 12 na baadae ikakutana na BTM ya madagascar kabla ya kuondoshwa mashindanoni na villa ya uganda.Japo haikuwa timu ya taifa, ila ni kweli ilikuwa timu kutoka huko Madagascar,ilisambaratishwa kwa goli hizo 14.
Hata sasa, bado Madagascar wabovu ki mpira, inashangaza sana Taifa Stars kuboronga kwa hao jamaa.
Swali linajirudia, kweli hata Madagascar wanatufunga 2-0????
Siyo kweli mkuu, pamba iliwafunga washelisheli goli 12 na baadae ikakutana na BTM ya madagascar kabla ya kuondoshwa mashindanoni na villa ya uganda.
Nchi hii tunafeli kwa kila kitu
Ndemla, mbonde, luizio, kazimoto, kapombe, bocco, hajibu, nyoni, Mngwali hao wote wanachezea yanga!?Tukisema Yanga inanunua mechi mnapiga kelele... Aya Yanga aibu yenu hiyo maana nyie ndio mmejaa huko Taifa Stars
Tukisema Yanga inanunua mechi mnapiga kelele... Aya Yanga aibu yenu hiyo maana nyie ndio mmejaa huko Taifa Stars
Tukisema Yanga inanunua mechi mnapiga kelele... Aya Yanga aibu yenu hiyo maana nyie ndio mmejaa huko Taifa Stars
huyo Nooij ni agent wa wakoloni nin?..katumwa kutuhalbia cv zetu....asikanyage tena Tanzania apitile kwao Uholanzi ala!
wanaleta undugu hata kwenye kabumbu madhara yake ndo hayoHata Big Brother Africa tuko vizuri!!