Start Up: Hii series nzuri sana, inaelezea changamoto za kuanzisha biashara na kujaribu kubadili maisha

Nilikua nataman kuona movie au series yenye Mauchline haya nitaitafuta
 
Can you recommend more series and movies zenye maudhui ya aina hiyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nilikua nataman kuona movie au series yenye Mauchline haya nitaitafuta
Ase wewe utakua kama mimi, mwenyewe uwa nazitafuta sana.

The profit
Shark Tank

Ushanziangalia? Zote hizi ni TV shows zenye episodes za kutosha.
 
ANGALIZO: Start Up ni fiction. Hizo nyingine zilizotajwa ni reality.
 
Kwa mtu kama mimi ninaye kaa huku vijijini njilinji nazipataje??..nipeni maujanja wadau
 
Start Up ni fiction kwa sababu ina-depict (inaonyesha) matukio ya kutunga na sio halisi. Shark Tank, The Profit, Dragon's Den etc ni reality tv series, zinaonyesha matukio halisi. Wajasiriamali wana-pitch biashara au idea za biashara mbele ya wakwekezaji (Investors) ili wawekeze kwenye hizo biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…