Startimes kampuni ya hovyo kabisa, kwa hili wajibikeni

Startimes kampuni ya hovyo kabisa, kwa hili wajibikeni

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Achana na bei za vifurushi,achana na kuondoa local Chanel kwenye fta.

Leo kupitia Chanel yao ya Tv3 walikua wakionesha mpira Kati ya Simba na raja,,wakati kipindi Cha pili kinaanza hawakurudi uwanjani mapema walidelay for 19 minutes,,,na bado hawajatolea ufafanuzi Wala kutuomba msamaha wateja wao ..

Kwahili uongozi wa Startime wawajibike ikiwezekana watufidie hasara na watuombe msamaha haraka sana
 
Hivi inakuwaje unaweka matumaini na kujenga maosha yako ya kiburudani around star times?
Hiki natumia Kama king'amuz Cha taarifa ya habari home tu mpira Sana ni vibandani,,leo nikasema usiku wa manane nisikate mitaa nitulie seblen
 
Kwakweli hata mimi najuta kuwa na star times niko mbioni kuchukua azam Nimechoka na kukatakata chaneli hata kama umelipiaa


STARTIMES WE ARE TIRED OF YOU !!!!
 
Back
Top Bottom