mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Haina namna wateja tumelipa na bado tumekesha saa7 usiku halafu watuzingueUnawaonea tu, bundle lao liliisha
Haina namna wateja tumelipa na bado tumekesha saa7 usiku halafu watuzingue
Hiki natumia Kama king'amuz Cha taarifa ya habari home tu mpira Sana ni vibandani,,leo nikasema usiku wa manane nisikate mitaa nitulie seblenHivi inakuwaje unaweka matumaini na kujenga maosha yako ya kiburudani around star times?
King'amz ni DSTV achana na taka taka hzo zingine
Wakijibu nimekaa paleeStarTimes Tanzania njooni mjibu tuhuma huku wateja wenu tumewakosea Nini?
Ndio kinanogaShida ya diestivii kiingereza kingi
Wakiomba msamaha kwa lazima utapata faida gani kiongozi au hizo dakika 19 zitarejea?na bado hawajatolea ufafanuzi Wala kutuomba msamaha wateja wao ..
Angalau watuthamini wateja waoWakiomba msamaha kwa lazima utapata faida gani kiongozi au hizo dakika 19 zitarejea?