Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tibisiiiii ila yenyewe ipo au ?bado sijang'amua hasa mwisho wa haya yote ni nini,,!
ComradeNunueni FTA receivers+6/8ft dish mtazame chaneli za nyumbani bure kabisa.
Kama upo Dar nenda Kariakoo, nyuma ya jengo la Simba SC, kuna maduka yanauza FTA receivers na madishi y makubwa, ni ghali kidogo kwa maana ya bei ya dish, receiver na installation ila ukishalifunga ndio basi.Comrade
Nipe direction ya namna ya kupata
Maana Nchi imekuwa haina USIMAMIZI mzuri kabisaa
inawezekana ikawa ni hivyo, lakini hayo yanafanyika kisheria,,? au ni kuburuzwa tu kama mizoga,,Wanavyosema: Local Channels kuondolewa kwenye Star times baada ya kuondolewa kwenye visimbuzi vya Dstv na Azam Tv.
Tunavyoelewa: Jiwe ameamua kubana uhuru wa habari ili wananchi tuendelee kuwa mazwazwa.
Makadirio ya awali ni kama kias gani nijipange kabisaKama upo Dar nenda Kariakoo, nyuma ya jengo la Simba SC, kuna maduka yanauza FTA receivers na madishi y makubwa, ni ghali kidogo kwa maana ya bei ya dish, receiver na installation ila ukishalifunga ndio basi.
Zinakatika katika sanaNunueni FTA receivers+6/8ft dish mtazame chaneli za nyumbani bure kabisa.
Receiver ni 120,000 au zaidi kulingana na receiver.Makadirio ya awali ni kama kias gani nijipange kabisa
Shukuran kwa info
Total cost+installation kama sh. Ngapi hivi mkuu?Kama upo Dar nenda Kariakoo, nyuma ya jengo la Simba SC, kuna maduka yanauza FTA receivers na madishi y makubwa, ni ghali kidogo kwa maana ya bei ya dish, receiver na installation ila ukishalifunga ndio basi.