Tetesi: Startimes kuondoa channel za ITV, EATV na Star tv kwenye kisimbusi chao

Tetesi: Startimes kuondoa channel za ITV, EATV na Star tv kwenye kisimbusi chao

Wanavyosema: Local Channels kuondolewa kwenye Star times baada ya kuondolewa kwenye visimbuzi vya Dstv na Azam Tv.

Tunavyoelewa: Jiwe ameamua kubana uhuru wa habari ili wananchi tuendelee kuwa mazwazwa.
North Korea wameweza sababu wana miliki mifumo yao tofauti inayojitegemea na aingiliani,
 
Receiver ni 120,000 au zaidi kulingana na receiver.
Dish 6' ni 180,000, 8' ni 300,000
Installation ni 50,000 au zaidi kutegemeana na LNB ngapi unafunga
LNB moja ni 10,000
Cable....

Baada ya hapo umemaliza.
Option ya antenna ina unafuu sana. Me nimetumia 22,000. Antenna + wire 17,000, fundi 5000. Sasa hivi nakula slope tu, uzuri matangazo hayakati ata lijae wingu kama lote.
 
Wanavyosema: Local Channels kuondolewa kwenye Star times baada ya kuondolewa kwenye visimbuzi vya Dstv na Azam Tv.

Tunavyoelewa: Jiwe ameamua kubana uhuru wa habari ili wananchi tuendelee kuwa mazwazwa.
Uongo! Mbona hata hamuogopi dhambi ya kusema uongo?
 
Option ya antenna ina unafuu sana. Me nimetumia 22,000. Antenna + wire 17,000, fundi 5000. Sasa hivi nakula slope tu, uzuri matangazo hayakati ata lijae wingu kama lote.
Ndio, hiyo niliisahau na ni cheap Kwa maana utapata local channel tu. Ila haikupi option nyingine kama kuwa na satellite nyingi na uwezo wa kufunga lnbf zaidi ya moja.

Watu wanaangalia epl bila malipo kwa hizi FTA receivers. Ukipata fundi mzuri anakufungia hadi LNB nne, hapo utaangalia kuanzia HBO hadi CNN huku ukiangalia sport24 inayokupa ligi za ulaya.
 
Hivi niulize
Zile investments walizofanya watu kwenye media wanazipeleka wapi maana sa hivi hawaoneshi chochote
Vipi kuhusu walioajiriwa sekta hiyo kwenye hizo kampun binafsi za media mkate wao wataupatia wapi kwa mabadiliko hayo ya ghafla maana sidhan media ka itakubal kuwalipa ilhal hawaingizi chochote
Jaman hebu tulichambua hili jambo kwa uyakinifu
Hapa ndo utaona jinsi mambo yanavyoendeshwa kiholela..azam walikuwa na wateja all over the country,,ingetakiwa wizara na tcra wakae chini waone ni jinsi gani ya kusolve hili tatizo bila kuleta athari nyingi..Azam wameinvest vile,leo hata habari naskia hawaonyeshi..WTF
 
Yasemekana ni sababu ya kutokukubaliana kwenye mazungumzo ya kimkataba licha ya wizara husika kuingilia kati,,
the saga continue,,
pamoja na yote haya waziri mawasiliano na uchukuzi bado yuko madarakani,,
Naomba msaada kwa yeyote anaye elewa juu ya king'amuzi cha AZAM TV wamefikia wapi juu ya kurejesha local channels za ITV,Star tv,Clouds tv,Wasafi tv ! Nawasilisha kwa mwenye incredible information yoyote ile atujuze please
 
Tunalazimishw kuangalia tibisiii kwa lazima, kuanzia huo ujinga uanze dekoda yangu ya dstv ipo kabatini mpk leo
 
Back
Top Bottom