Tetesi: Startimes kuonesha EPL baada ya siku 11 zijazo

Tetesi: Startimes kuonesha EPL baada ya siku 11 zijazo

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
839
Wakuu
Kuna tetesi nimezipata kwamba startimes wataanza kuonyesha EPL siku 11 zijazo
Baada ya kupata hiyo tetesi nimeamua kutembelea page yao ndani ya facebook na nikakuta wameandika kwamba bado siku 11 tutawaletea kitu kizuri zaidi ambacho kila mmoja atakifurahia muendelee kuwa nasi na ku like ili kujua nini kinaendelea.
Kila siku wamekua wakipost kuwa bado siku ngapi leo ni 11 kesho zinabaki 10 hivyohivyo mpaka moja
Minong'ono ya kuonyesha EPL imeendelea kusambaa wanapoulizwa hawataji ninini kinakuja wanaacha kama "suprise" kwa wateja
Natamani iwe hivyo kweli ili ukiritimba wa DSTV uishe
Wadau wa michezo wametamani sana EPL ionyeshwe kwa gharama ya ndogo ya kifurushi
Haya sasa ngoja nisubiri hizo siku
 
  • Thanks
Reactions: mni
hadi wew unalipia elfu 10 per month kuangalia epl? akati zipo channels free to air zinaonyesha buure mechi zote dah! so sad
mkuu ungewasaidia hao wanaosubiri startimes warushe epl, silipi 10000 kwa ajili ya epl, nalipa ili nione chanel tofauti zilizopo kweny king'amuzi, epl sio chochote kwang kwa sasa
 
Teh!teh!!teh!!...... EPL na startimes wapi na wapi!!..... Labda watakuwa wanaonyesha recorded!
 
EPL sio wote wanaojua ni kitu gani.Tafadhali tufafanulie tujue EPL ni mnyama gani.
 
Back
Top Bottom