Tetesi: Startimes kuonesha EPL baada ya siku 11 zijazo

Tetesi: Startimes kuonesha EPL baada ya siku 11 zijazo

Jamani mambo yote yapo google,unaona kila mechi unayotaka....
Kwa nn kuwa watumwa wa dstv???
Kwenye laptop yenye vga au hdmi unaconnect na tv basi no problem
 
Kuna siku nilienda ofisi za Startimes mfanyakazi mmoja akaniambia sasa hivi wako kwenye mchakato wa kuonesha EPL hivi karibuni.
 
mkuu ungewasaidia hao wanaosubiri startimes warushe epl, silipi 10000 kwa ajili ya epl, nalipa ili nione chanel tofauti zilizopo kweny king'amuzi, epl sio chochote kwang kwa sasa
mkuu ungewasaidia hao wanaosubiri startimes warushe epl, silipi 10000 kwa ajili ya epl, nalipa ili nione chanel tofauti zilizopo kweny king'amuzi, epl sio chochote kwang kwa sasa
kubali kataa wewe ni shabiki wakutupwa wa chama letu asernal ndo mana huoni umuhimu wa epl kwa sasa
 
Mimi nilishaamua kutumia stream tu kutazama najichagulia mwenyewe, Kwanza kwa mwezi nalipa bundle ya halotel elfu 35 napata GB 15 na nimelipia EPL HD kwa $ 19.99 kwa mwaka napata channel zangu kwa raha, naunga laptop yangu kwenye cable ya HD mpaka kwenye TV kwa raha yangu nakula vitu
Dah nataman kupata maelekezo vzr.. Najhc nmekua slow learner ktk hili.. Ila unafaidi
 
Star times sasa wanataka kuharibu raha zangu, huwa namuaga wife kuwa naenda kucheki soka hasa mechi za usiku ili nikafanye yangu kwa bi mdogo, nitakosa cha kusingizia sasa.
 
Inafanyikaje mkuu, unaweza kunielekeza mkuu.

Dah nataman kupata maelekezo vzr.. Najhc nmekua slow learner ktk hili.. Ila unafaidi

Kwanza cha Kwanza uwe na computer, nenda kwenye website hii www.eplsite.com kuna free channels ukitaka Lakini hazina ubora, wanazo HD za kulipia kwa mwaka $19.99, kitu muhimu uwe na net heavy yenye nguvu mimi natumia halotel naunga elfu 35 napata 15 GB kwa mwezi, Kila mechi moja ya dkk 90 itafika mb 300 ndio hayo na mechi zote za EPL, champions League na ligi nyingine karibu zote kubwa napata
 
Hao nao kwanini wasingeonyesha tangu mwanzo?? Wanasubiri hadi sahizi mafungulia mbwa ligi inaishia
 
Hivi startimes kweli kuonyesha epl?mechi ngap za msimu??3
 
hadi wew unalipia elfu 10 per month kuangalia epl? akati zipo channels free to air zinaonyesha buure mechi zote dah! so sad
Hebu Mtusaidie Na Sisi Ambao Tumekuwa Watumwa Wa Vibandaumiza!! Hivyo Ving'amuzi Vyote Mnavyosema Vinapatikanaje!!?
 
Hebu Mtusaidie Na Sisi Ambao Tumekuwa Watumwa Wa Vibandaumiza!! Hivyo Ving'amuzi Vyote Mnavyosema Vinapatikanaje!!?

kuna uzi kwenye jukwaa la matangazo umezungumzia kila kitu
 
Dstv itabaki kuwa Dstv tu!..hamna mpinzani..usiseme hatuna hela sema sina hela!
 
Back
Top Bottom