Tetesi: Startimes kuonesha EPL baada ya siku 11 zijazo

hawawezi kuonyesha maana hakuna mkataba unasainiwa zikiwa zimebaki mechi chache, dstv wana mkataba mpaka mwaka,2019
someni hapa chini:

SuperSport has paid £296 million for the 2016-19 Barclays Premier League broadcast rights in sub-Saharan Africa, The Mail Online reported.

This would have cost MultiChoice aroundR6 billion in August 2015 when the deal was signed.

If payment were delayed until later in 2015, after President Jacob Zuma’s decision that lead to the Nene/Van Rooyen debacle, it would have cost closer to R7 billion.

Asked where on the scale between R6bn-R7bn the deal fell, SuperSport only said it was aware of the report.

“Others are free to speculate, but SuperSport does not disclose the nature or costs of broadcast,” it said.

Naspers recently reported that MultiChoice’s programming and production costs for the six month period between April and September 2015 was R5.8 billion.

This was over 25%, or R1.1 billion, higher than the same period in 2014.
 
Kuna siku nilienda ofisi za Startimes mfanyakazi mmoja akaniambia sasa hivi wako kwenye mchakato wa kuonesha EPL hivi karibuni.
hawawezi, soma post nimepost, dstv wana haki ya kusini mwa jangwa la sahara kuonyesha mpaka 2019
 
hawawezi kuonyesha maana hakuna mkataba unasainiwa zikiwa zimebaki mechi chache, dstv wana mkataba mpaka mwaka,2019
someni hapa chini:

SuperSport has paid £296 million for the 2016-19 Barclays Premier League broadcast rights in sub-Saharan Africa, The Mail Online reported.

This would have cost MultiChoice aroundR6 billion in August 2015 when the deal was signed.

If payment were delayed until later in 2015, after President Jacob Zuma’s decision that lead to the Nene/Van Rooyen debacle, it would have cost closer to R7 billion.

Asked where on the scale between R6bn-R7bn the deal fell, SuperSport only said it was aware of the report.

“Others are free to speculate, but SuperSport does not disclose the nature or costs of broadcast,” it said.

Naspers recently reported that MultiChoice’s programming and production costs for the six month period between April and September 2015 was R5.8 billion.

This was over 25%, or R1.1 billion, higher than the same period in 2014.
utakufa na pressure mwaka huu
 
Wakuu
Kuna tetesi nimezipata kwamba startimes wataanza kuonyesha EPL siku 11 zijazo
Baada ya kupata hiyo tetesi nimeamua kutembelea page yao ndani ya facebook na nikakuta wameandika kwamba bado siku 11 tutawaletea kitu kizuri zaidi ambacho kila mmoja atakifurahia muendelee kuwa nasi na ku like ili kujua nini kinaendelea.
Kila siku wamekua wakipost kuwa bado siku ngapi leo ni 11 kesho zinabaki 10 hivyohivyo mpaka moja
Minong'ono ya kuonyesha EPL imeendelea kusambaa wanapoulizwa hawataji ninini kinakuja wanaacha kama "suprise" kwa wateja
Natamani iwe hivyo kweli ili ukiritimba wa DSTV uishe
Wadau wa michezo wametamani sana EPL ionyeshwe kwa gharama ya ndogo ya kifurushi
Haya sasa ngoja nisubiri hizo siku
Mechi zenyewe zimebaki 4 [emoji28]
Si bora wasionyeshe tu
 
zctv, coconut tv decoder nk
Hivi ni kwa Zanzibar tuuuu
Zanzibar miaka mingi saana tena saana tunaona kwenye Decorder zetu hizo,tena buku 10 tuuu kwa mwezi.
So,hata Startime wakija labda kwa upande wa Tanganyika ndio watashobokea saana.Ila huku kila nyumba watu wanaona mpira mpaka kwa wauza kahawa na wauza chips
 
Wale Coconut TV waje na huku Bara.
Ni ngum mkuu kwa sheria za huko,
Maana Coconut Radio ni tawi la Clouds Fm,na Coconut Tv ni Tawi la Cloud Tv
So,ni wamoja ila sheria zitawabana kwa huko kuonyesha mipira ya EPL na ligi zoote kubwa duniani kama wanavyofanya Zanzibar,maana hakuna bundles huku,wewe ukilipa buku 10 unapewa Channes zoote,sijui zinakaribia 100
Maana ni Coconut Digital,Zanzibar Cable,Zenj Ditigal,woote wanafanya hivyo,raha tupu
Na ndio maana Decorer zoote sijui Startime,Zuku na zingine kibaooo hukuti kwenye nyumba ya mtu,Angalu Azam ndio zipo nyingi kwa ajili ya Ligi Kuu.Maana hata mie nina AZAM na Coconut Digital
Dstv kwa Zanzibar bado wanafanya vizuri saana,maana Almost All hotels ndio wamejiunganao.
 
hawawezi kuonyesha maana hakuna mkataba unasainiwa zikiwa zimebaki mechi chache, dstv wana mkataba mpaka mwaka,2019
someni hapa chini:

SuperSport has paid £296 million for the 2016-19 Barclays Premier League broadcast rights in sub-Saharan Africa, The Mail Online reported.

This would have cost MultiChoice aroundR6 billion in August 2015 when the deal was signed.

If payment were delayed until later in 2015, after President Jacob Zuma’s decision that lead to the Nene/Van Rooyen debacle, it would have cost closer to R7 billion.

Asked where on the scale between R6bn-R7bn the deal fell, SuperSport only said it was aware of the report.

“Others are free to speculate, but SuperSport does not disclose the nature or costs of broadcast,” it said.

Naspers recently reported that MultiChoice’s programming and production costs for the six month period between April and September 2015 was R5.8 billion.

This was over 25%, or R1.1 billion, higher than the same period in 2014.
Mkuu acha kukariri.
Zanzibar Cable,Coconut Digital na Zenji Digital,vyote kwa Zanzibar vinaonyesha na unalipa Buku kumi tu kwa mwezi,tena wanamitambo ya Maana WIRELESS,unafungiwa antenna na Decorder zao unakula raha.all subscribers under same bundle,Tena Decoders zao hata laki moja hazifiki.Na Dstv hata huku wapo na malaki yao hayo.
Njoo Zanzibar uone mabanda ya chips yanaona EPL,kijumba kibovuuu ndani mtu anaona Euro au Champions ligi,hahaha,maana ni zaidi ya Dtsv
 
Mkuu acha kukariri.
Zanzibar Cable,Coconut Digital na Zenji Digital,vyote kwa Zanzibar vinaonyesha na unalipa Buku kumi tu kwa mwezi,tena wanamitambo ya Maana.all subscribers under same bundle,Tena Decoders zao hata laki moja hazifiki.Na Dstv hata huku wapo na malaki yao hayo.
Njoo Zanzibar uone mabanda ya chips yanaona EPL,kijumba kibovuuu ndani mtu anaona Euro au Champions ligi,hahaha,maana ni zaidi ya Dtsv
waulize vizuri, hawana kibali cha hiyo ligi kutoka uk., wanapata matangozo kinyemela kupitia tv za uarabuni zenye kibali cha uarabuni tu na ndio wanatumia kuonyeshea zanzibar....
hata wewe ukitaka unananua dikoda dubai unaisajili kulekule ukileta hapa unatafura dish kibwa unapata signal na unaonyesha, ila huna kibali
 
Wangekuwa wameisha fungiwa zamani,maana Zaidi ya Miaka 10 watu tunaona EPL kwa Makampuni hayo ambapo Zanzibar Cable ndio wakongwe.Na wote wana Licenses za biashara
Na washindani wao Dstv wapo hapa na wanalijua hilo.Maana kwenye nyumba binafsi wameishafunga virago,bado wanapeta kwenye mahoteli tu
Kuwa mpole mkuu,Zanzibar kwa Kutazama Ligi zoote za Ulaya ni raha tupu
 
FFS Watanzania Wamekua wakifurahia Vitu Visivyo na Maana Kila Siku Nimeskia wamefurahi Bomba la Mafuta la Uganda kupita Tanzania na Warwanda wakijenga Bomba la Kumwaga Mavi/maji machafu bahari ya Hindi bila shaka Mtafurahi Mkiongozwa na Mheshimiwa Bwege.

Back to the Topic ni wazi mnashangalia mpaka nguo zenu za Ndani zinaonekana labda tuu hamjui gharama za Urushaji wa EPL kampuni ya DSTV Kupitia kampuni ya Supersport zilianza kuonesha taangu mwaka 1993 ligi kuu ya Uingereza.

Hivi nakua najiuliza Startimes nayo ni ya Watanzania au Wachina? Sasa kwa Taarifa tuu Gharama za Kununua EPL Mnadani ni kama £300Million pesa hii ni sawa na TZS. 900,000,000,000/= Fikra za wananchi wa nchi ya wakwepa kodi wanafurahia wanaona eti Star Times ikichukua dili la kuonesha EPL itakua ikionesha kwa TZS. 10,000 No Bei itakua kati TZ150,000 Na kuendelea Kuiona EPL ili wakave cost na hiyo bei ya rights. Kwahiyo baada ya Ligi Ghali kuingia Startimes still middle na Lowerclass wataangalia mpira vibandani tuu licha ya kuwa na Ving'amuzi vya Startimes. hii Issur niliandika hivihivi Azam nao waliporokwa na hili na wakashindwa EPL ni Expensive na Ikiongezwa usije Ukafiri you will pay 50,000 , 10,000 au 5,000.

Tusishabikie bila Uelewa wa Cost ya EPL mimi ni huwa naokoa Cost kwa kustream na naunganisha kwa HDMI lakini DSTV ni Best katika Pay Tv Jamani.

Sorry for this Shit
 
Ni ngum mkuu kwa sheria za huko,
Maana Coconut Radio ni tawi la Clouds Fm,na Coconut Tv ni Tawi la Cloud Tv
So,ni wamoja ila sheria zitawabana kwa huko kuonyesha mipira ya EPL na ligi zoote kubwa duniani kama wanavyofanya Zanzibar,maana hakuna bundles huku,wewe ukilipa buku 10 unapewa Channes zoote,sijui zinakaribia 100
Maana ni Coconut Digital,Zanzibar Cable,Zenj Ditigal,woote wanafanya hivyo,raha tupu
Na ndio maana Decorer zoote sijui Startime,Zuku na zingine kibaooo hukuti kwenye nyumba ya mtu,Angalu Azam ndio zipo nyingi kwa ajili ya Ligi Kuu.Maana hata mie nina AZAM na Coconut Digital
Dstv kwa Zanzibar bado wanafanya vizuri saana,maana Almost All hotels ndio wamejiunganao.

Nilipokuwa naishi Michenzani block 4 nilikuwa naenjoy sana lakini huku decorder zenyewe uzushi tu.
Kama ni sheria tunaweza kubadili.
 
Hujui Dstv kapewa tender ya kuonesha huku kwetu? Na hiyo tender haigawanywi kati ya msimu
 
FFS Watanzania Wamekua wakifurahia Vitu Visivyo na Maana Kila Siku Nimeskia wamefurahi Bomba la Mafuta la Uganda kupita Tanzania na Warwanda wakijenga Bomba la Kumwaga Mavi/maji machafu bahari ya Hindi bila shaka Mtafurahi Mkiongozwa na Mheshimiwa Bwege.

Back to the Topic ni wazi mnashangalia mpaka nguo zenu za Ndani zinaonekana labda tuu hamjui gharama za Urushaji wa EPL kampuni ya DSTV Kupitia kampuni ya Supersport zilianza kuonesha taangu mwaka 1993 ligi kuu ya Uingereza.

Hivi nakua najiuliza Startimes nayo ni ya Watanzania au Wachina? Sasa kwa Taarifa tuu Gharama za Kununua EPL Mnadani ni kama £300Million pesa hii ni sawa na TZS. 900,000,000,000/= Fikra za wananchi wa nchi ya wakwepa kodi wanafurahia wanaona eti Star Times ikichukua dili la kuonesha EPL itakua ikionesha kwa TZS. 10,000 No Bei itakua kati TZ150,000 Na kuendelea Kuiona EPL ili wakave cost na hiyo bei ya rights. Kwahiyo baada ya Ligi Ghali kuingia Startimes still middle na Lowerclass wataangalia mpira vibandani tuu licha ya kuwa na Ving'amuzi vya Startimes. hii Issur niliandika hivihivi Azam nao waliporokwa na hili na wakashindwa EPL ni Expensive na Ikiongezwa usije Ukafiri you will pay 50,000 , 10,000 au 5,000.

Tusishabikie bila Uelewa wa Cost ya EPL mimi ni huwa naokoa Cost kwa kustream na naunganisha kwa HDMI lakini DSTV ni Best katika Pay Tv Jamani.

Sorry for this Shit
Bahati yako umeomba samahani mwisho
Maana wewe kila kitu Siasa tuuuu
Ila mwisho umeelezea vizuri,kweli Cost lazima itabadilika kwenye Premium Bundles na itakuwa baadhi ya mechi tu
Ila kama kutakuwa na unafuu basi hatunabudi kuwapongeza kwa hilo dogo,binaadam lazim uwe na shukrani
 
.....
Wakuu
Kuna tetesi nimezipata kwamba startimes wataanza kuonyesha EPL siku 11 zijazo
Baada ya kupata hiyo tetesi nimeamua kutembelea page yao ndani ya facebook na nikakuta wameandika kwamba bado siku 11 tutawaletea kitu kizuri zaidi ambacho kila mmoja atakifurahia muendelee kuwa nasi na ku like ili kujua nini kinaendelea.
Kila siku wamekua wakipost kuwa bado siku ngapi leo ni 11 kesho zinabaki 10 hivyohivyo mpaka moja
Minong'ono ya kuonyesha EPL imeendelea kusambaa wanapoulizwa hawataji ninini kinakuja wanaacha kama "suprise" kwa wateja
Natamani iwe hivyo kweli ili ukiritimba wa DSTV uishe
Wadau wa michezo wametamani sana EPL ionyeshwe kwa gharama ya ndogo ya kifurushi
Haya sasa ngoja nisubiri hizo siku
.Nadhani itakuwa hatua mahsusi katika kutoa burudani na kuvunja u monopoly wa DStv ambao kwa kweli wanaumiza wenye vipato vidogo kwa gharama zao
 
Mimi nilishaamua kutumia stream tu kutazama najichagulia mwenyewe, Kwanza kwa mwezi nalipa bundle ya halotel elfu 35 napata GB 15 na nimelipia EPL HD kwa $ 19.99 kwa mwaka napata channel zangu kwa raha, naunga laptop yangu kwenye cable ya HD mpaka kwenye TV kwa raha yangu nakula vitu
Niaje nikitaka huduma ya stream napataje nipe details please!
 
Back
Top Bottom